Alikuwa mlokole😃😃haha yani kila ukisema hivyo namkumbuka ex wangu kipindi namtongza
😀
Mimi mlokole pia kwahiyo mambo ya ulokole nayajuahaha umejuaje we mchawi
Kwenye nini tenahaha mnanifurahishaga sometime
Hebu niambie ilikuwaje na ex wako kwenye huo upandekwenye mapenzi
Salama kabisaa aisee, vipi hali yako Mkuu?Njemaa kabisa wajionaje na hali
Ni siku nyingine mkuu, kunani huko?Habari za asubuhii
Raisi wa chama Cha majobless pro max Intelligent businessman
Mzee wangu Dr am 4 real PhD
Brother Hovering
Afu Kuna hii baninyo secretarybird
Ndg yangu makutupora
Hawajambo na wanaendelea kuwaonea membazNii mzima salama salmini, vipi hapo mamodinyo na baninyo hawajambo?
mamodinyo baninyo 😂 😂Hawajambo na wanaendelea kuwaonea membaz
Hahaha 😂 🤣Bado nimelala ndani ya neti...
Nataka niwe rubani
Kizimkazi au yupi 😂Rais wetu yupo kimya sana
Hahaha hawa jamaa ni manyang'awu aiseemamodinyo baninyo 😂 😂