Bado nimelala ndani ya neti...
😂😂😂😂😂 Ebuu acha zako ww sasa mi na drive nini mkuuJambo jema uko good, tafuta pahala upige usingizi kama unadrive, don't drive ukiwa na usingiz
Mkuu ngoja nilale kwanza..haha mkuu huna hata kaRAUM
Habari za asubuhi kaka
Huku kigamboni Kuna kamvua cha mchongo kananyeshaSalama kabisa mkuu siku imeanza vyema kuna kijuajua hapa kanda ya ziwa.
Umeamkaje jirani?Good morning jirani Binti Sayuni03
Mbona unarudi mapema sana jamani ilibidi urudi jioninimefumbua macho nikatoa shuka,nikasali, nikaswaki, nikabeba jembe nikaenda shambani ndio narudi mda huu jirani!
🙂
Kwema kiongozi habari za kuamka? Ukawe na siku njemagood morning juakali kwema kiongozi
Ukivuna ututumie na sisi wa mjini kidogo tuonje mazao yako😃😃haha jua kali jirani afu nimeanza saa10 alfajir