Mh! Raha za mjini tumuachie nanihaha uhakika, ila inafaa nyie ndio mje kijijini 🙂
Nii mzima salama salmini, vipi hapo mamodinyo na baninyo hawajambo?
Nipo ndugu yangu sema tu majukumu ya hapa na pale mkuu🙏 Niko poa sijui weweGood morning holoholo
Umepotea sana wife kakufungia kijana?
Unaujua uzi wa rikiboy😁😁😁Kwani mnakuja kuishi! mnakuja hata weekend mara moyamoya 😀
Mimi tu humu ndiyo sina nduguHabari za asubuhii
Raisi wa chama Cha majobless pro max Intelligent businessman
Mzee wangu Dr am 4 real PhD
Brother Hovering
Afu Kuna hii baninyo secretarybird
Ndg yangu makutupora
Niko poa pia, ukipata nafasi tuletee chai usikae kimya sana😁😁Nipo ndugu yangu sema tu majukumu ya hapa na pale mkuu🙏 Niko poa sijui wewe
huyu ndugu yetu rais wa KATAA NDOA & MAJOBLESS PRO MAX Hon. Intelligent businessman simuoni hizi siku mbili tatu!Habari za asubuhii
Raisi wa chama Cha majobless pro max Intelligent businessman
Mzee wangu Dr am 4 real PhD
Brother Hovering
Afu Kuna hii baninyo secretarybird
Ndg yangu makutupora
Na kwako pia rafiki..
Nenda kausomeHaha siujui unahusu nini jirani 😀 😀
Za kuamka mkuu! Leo vipi, mambo yako freshZa kuamka mkuu Al-mukheef
😁😁unataka kuharibu ujirani mwema wewehaha unamaanisha nini jirani unataka nile tundalako kimasihara
🙂
Ndiyo upi huo?mi naujua uzi wa Jambazi