Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 18,309
- 37,064
Pro max 🤣Kizimkazi au yupi 😂
Pro max 🤣Kizimkazi au yupi 😂
Pro max namba zake sina afu shida ya jf hujui kaingia au hajaingiaPro max 🤣
Mamodinyo baninyo 😂 😂Hahaha hawa jamaa ni manyang'awu aisee
Yeah, mamodinyo, baninyo.Mamodinyo baninyo 😂 😂
Hapo ndipo job true truePro max namba zake sina afu shida ya jf hujui kaingia au hajaingia
Hatari sana hiyo uiandikie thread yake😁😁haha ni story ndefu itakuwa na:
Season 1
Season 2
Season 3
Ok basi anaweza kuwa yupo Ila majukumu mengihaha inaonesha kwenye profile yake last seen
HahahahahahahaHapo ndipo job true true
Basi sawaniko gud kazi inaendelea
Nashukuru mungu Leo nimefanikiwa kazi niliyokuja kufanya pande za mabibo nimeifanya kwa masaa masita, niseme Asante MunguSamaleko of the good morning.
Yes, no .. I'm fine
Intelligent businessman
Monetary doctor
Mshana Jr
Bolotoba
My love, my sweet bint Sayuni
Edo kissy
min -me
Mungu akabariki kazi za mikono yenu!
Mbarikiwe, muingiapo
Mbarikiwe, mtokapo
Samaleko ubarikiwe pia ndugu.Samaleko of the good morning.
Yes, no .. I'm fine
Intelligent businessman
Monetary doctor
Mshana Jr
Bolotoba
My love, my sweet bint Sayuni
Edo kissy
min -me
Mungu akabariki kazi za mikono yenu!
Mbarikiwe, muingiapo
Mbarikiwe, mtokapo
Salamu zimenifikia Monetary doctor... Shukrani sana.Habari za asubuhii
Raisi wa chama Cha majobless pro max Intelligent businessman
Mzee wangu Dr am 4 real PhD
Brother Hovering
Afu Kuna hii baninyo secretarybird
Ndg yangu makutupora
Ni njema broh..... Namshukuru Mungu..Salamu zimenifikia Monetary doctor... Shukrani sana.
Jumatano tulivu inamalizikaje hapo ?
mkali niajeSamaleko ubarikiwe pia ndugu.