cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,101
- 181,175
Kwabwina, kwali wa mwiyangu, kimatengo naelewa ila kuzungumza siwezi.Poa tu, habari ja leleno?
Kwabwina, kwali wa mwiyangu, kimatengo naelewa ila kuzungumza siwezi.Poa tu, habari ja leleno?
Nimefurahi pia Mlongo.Haha sawa nafurahi kukuona leo. 🙂
Haha! Safi sana mkuu..nilikuwa sijaona huu uzi i see.Good morning people
Platinums, Experts, Seniors, Members, New members & Guests:
Maisha yanaenda kasi sana, wengi tunatamani kuyakamilisha mambo tuliyopanga.
Sote tuendapo kulala tunalala tukiwa na tumaini kesho (ambayo ndio leo tuliyoamka) itakuwa njema, tutaamka tena!
Siku njema huonekana asubuhi, asubuhi njema huanza kwa salamu.
Tuma salamu za asubuhi
Mjulie hali member yeyote
SALAMU NI MUHIMU
Inapendeza kujuliana hali.
Sisi tuko vyedi kabisa.Niko salama kabisa Auntie hofu kwako na familia, hamjambo?
"Ndugu"hio inamaana ya bro sio !