kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,092
Sifanyi huo ujinga kisa ushabiki 😁😁Weka ubashiri wako ongezea na maneno "nipigwe ban kama isipokuwa hivyo"
Sifanyi huo ujinga kisa ushabiki 😁😁Weka ubashiri wako ongezea na maneno "nipigwe ban kama isipokuwa hivyo"
Yaani mimi maswala ya mpira sifagilii kabisa na sinaga mzuka nayo yaaniNdio maana nakukubali 🙂
Hata sielewekagi😁😁haya mambo yako kwenye DNA zetu wanaume.
We unafagilia mambo gani? 😀
Mimi siyo mlevi mbona😁😁Haha sawa leo unifundishe kulewa.
Mjini umekuja lini?Haha tujifunze leo kama vile nina hamu ya kulewa na wewe !
Kwahiyo unataka kutumia pesa za mbolea leo😁😁Nimekuja kununua mbolea hii weekend haha
Haya bwana jirani alafu sijawahi kwenda kabisa huko leo ntatoa ushamba😁😁hahah hapana za mbolea zipo mfuko wa kushoto za kutumia zipo kwenye wallet mfuko wa kulia.
Haya baadae ngoja nikatafute viwalo sasa😁😁Afadhali haha