Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 7,927
- 20,931
- Thread starter
- #201
Binti Sayuni03 amkaaa
Nimeamka nawaza zile milioni 5 za pambanoa sokweBinti Sayuni03 amkaaa
Acha uoga mkuu unafeli sana kama siyo wa mkoaniHahah 😀 me siziwezi nimejitoa
Huyo ni mfanyabiashara ndiyo maana anajiita intelligent businessmanhuyo jamaa anaweza akaleta king kong kutukomoa we tokea lini jobless pro max akatoa M5 kizembe hivo 😀
Hata mimi nimeshtuka aisee😁😁😁🙌haha sikatai ila ukiona unaitwa kwenye fursa ujue wewe ndio fursa yenyewe 🙂
Hahaha we mtu kila mda anasema I mean no malice to nobody hushtuki tuHata mimi nimeshtuka aisee
Maana yake nini mkuu😁😁
Binti Sayuni03 mme jua kuni chekesha, i mean no malice to nobody
Mimi sio mfanyabiashiara, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.Huyo ni mfanyabiashara ndiyo maana anajiita intelligent businessman
Mimi wa la 7 B naomba unitasirie mkuu😁😁Binti Sayuni03 mme jua kuni chekesha, i mean no malice to nobody
Heeeeh! Kuna siku nilikusikia umesema upo bize na mihangaikoMimi sio mfanyabiashiara, mimi ni raisi wa Chama Cha ma jobless pro max.
nazurura tu, usi kute nasaka ukoko wa buku 😁Heeeeh! Kuna siku nilikusikia umesema upo bize na mihangaiko
subiri Nomadix aje, I mean no malice to nobodyMimi wa la 7 B naomba unitasirie mkuu😁😁
I mean no malice to nobodyHahah 😀 mkuu huwa unamaana gani ni kama unamaanisha (sitaki shari na mtu yeyote)