Special Thread: Salamu za asubuhi

Special Thread: Salamu za asubuhi

Utakuta nimevaa high heels na kigauni flani hivi amazing na wigi kama Lulu Diva
Mbona wewoo 😀
manjonjo mengi mbona utafanya nisikutambue.

Tupia uzi wa mnyama juu mpaka chini, vaa na six chukua vuvuzela tukutane Samaki Samaki.
 
Mbona wewoo 😀
manjonjo mengi mbona utafanya nisikutambue.

Tupia uzi wa mnyama juu mpaka chini, vaa na six chukua vuvuzela tukutane Samaki Samaki.
Unataka kunifanya nionekane kama msukuma wewe😁😁😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom