Hakika mabashite mpo wengiNenda tu kamsake ngoja Mimi nisake hela kwanza .Ukimpata mwambie akuweke hata kwenye video yake
Kudhani uko salama katika mazingira yasiyo salama ni dalili ya ujinga...Nenda tu kamsake ngoja Mimi nisake hela kwanza .Ukimpata mwambie akuweke hata kwenye video yake
Akili zako zimehamia matkon ee?si bora huo muda wa kwenda kutafuta mtu aliyeamua kujipoteza mwenyewe uutumie Walau kwenye shughuli za kilimo,tena na masika hii?
Kama Simu Yake Inaita Kwanini Polisi Wasiitafute Sehemu Ilipo?
Kama Kuna Watu Wanaofanya Kazi Kwenye Mashirika ya Simu Wenye Uwezo Wa Kuitazama Simu Inaita Kutoka Sehemu Gani Wanaweza Kusaidia
Uhai wa mtu ni zaidi ya huo ubunge!Hee mara hii mmeshasahau machungu ya ubunge wa east africa. Hii ndio Tanzania ya matukio
Duuh... kweliiiMke wake kuzunguka vituo vyote vya police
Lakini RPC Wa kinondoni anasema hawajapata taarifa zozote za kutekwa kwa Roma
It only happens in Tanzania
Uhai wa mtu ni zaidi ya huo ubunge!
Wewe endelea kufurahia polisi wakuawa na majambazi lkn iko siku na wewe hayo majambazi yatakufanya hivyohivyo tu ndiyo utajua chuki zako hazina maana.Ukiona mtu anafurahia mambo kama wewe basi si ajabu naye akawa ni jambaziNdio maana polisi wakiuwawa na majambazi watu hufurahia kwani yako kwa ajili ya kulinda interests za CCM shenz. Mkiua kila mtu mtatawala nini sasa
Ben saa nane kwani watu walikaa kimya?Na wa ben saanane je mbona hamkutumia nguvu kama hizi?
Kama Simu Yake Inaita Kwanini Polisi Wasiitafute Sehemu Ilipo?
Kama Kuna Watu Wanaofanya Kazi Kwenye Mashirika ya Simu Wenye Uwezo Wa Kuitazama Simu Inaita Kutoka Sehemu Gani Wanaweza Kusaidia
Ben saa nane kwani watu walikaa kimya?
Sasa kama mamlaka husika ambazo ndizo zenye mbinu zimekaa kimya ulitaka waliopo kule mrere, wampateje!
Vitu vingine acha kuingiza ubashite, leo kwake kesho litahamia kwako, halafu utashangaa hupati msaada wowote wakati ulichekelea ya wenzio!
Inaonekana una mihemko ya kibashite!Hawakupiga kelele kama hizi wala kutaka kujihusika binafsi kama mnavyofanya kwa roma. Wewe unaejiona jinias likikupata lolote utalia na familia yako hata ukileta huku utaishia kupata pole za kinafiki
Wenye uchungu na roma ni familia yake hao ndio wanaomtafuta kimya kimya bila kelele kama zenu hamsaidii kitu
Hata homo tutasaka tu. Si ndani ya TzMfano kawekwa kwenye safe house ambayo haipo kwenye public domain tutampataje ?
Vyovyote vile huu uhuni una mwisho wake na mwisho wake sio mzuri