•Sitashangaa kabisa km mwenyeji Morocco akishindwa kuchkua ubingwa huu japo yupo juu sana kny rank za fifa nafasi12 na previously washabeba vikombe vingi kimataifa kuanzia ngazi vijana,Chan, Hadi kombe la Dunia la vijana under20 Kwa kuwafunga Argentina.
•Na pia sifurahishwi pia na ungana na yule kocha Mali na zamani Yanga, Tom saintfiet, Kuwa chama Cha soka Afrika Caf, kutokuwa na "consistency" ktka uendeshaji wa mashindano haya, mara yafanyike mwaka huu, mwakani Tena, mara alietaka kuandaa kasusa sijui kakosa Hela(kwanini kusiwe na mbadala nchi muandaaji), mara Kuna mivutano yafanyike baada miaka miaka 4 na sio2 Tena na iwe June km wafanyavyo Wazungu na Euro na world cup Yao, tunakuwa hatuna msimamo tunaendeshwa endeshwa tu..No consistent
•Ndo maana Kuna mwaka ilihitajika mwakilishi wa kombe la mabara, lilikuwa linafanyika mwaka mmoja kbl kombe la Dunia, ilileta mtafaruku kupata mwakilishi kati ya Ivory coast ya Drogba na Zambia, sababu mashindano yaliahirishwa yakaja kufanyika Kwa kufululizana mwaka huu, mwakani Tena, ila Mkubwa ivory coast akateuliwa aende kuwasilisha.