Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

1000474719.jpg
 
1000475516.jpg

Algeria tayari wameingia hatua ya Mtoano.
Kazi ya Equatorial Guinea imemalizika.
Burkina Faso na Sudan wanakibarua heavy
 
Dah Zimbabwe wanapigwa goli la haraka haraka hapa
 
1000475517.jpg

Only Gabon out.
Wengine bado wana nafasi za kuingia mtoano
 
1000475534.jpg

Nigeria ameshaqualify.
Kazi imebaki kwa Tunisa kutufunga sisi
 
Dakika y la 16
Angola 0
Egypt 0
Game On..
 
Back
Top Bottom