Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Dakika ya 22
Nigeria 0
Tunisia 0
Mpira unaendelea
 
Dakika ya 45+3
Nigeria 1
Tunisia 0
 
1000471867.jpg
 
Ni mahali gani Afrika viwanja vinaweza kujaa hivi
Caf baada ya kuona mashabiki hawaingii, wakaamua kufungulia mmbwa
Watu wanaingia free humo kaka usije fikiria wanajaza kwa tiketi
 
Haji mnoga Hana speed na akili ya mpira
Huwa najiuliza hivi kinachoitwa bench la ufundi maana yake nini? Huyu alionesha ubovu tangu dakika ya kwanza ila hakutolewa. Timu ilipaswa ifanyiwe sub za mapema kwa kuwaingiza kina Morrice na damu nyingine changa, wameachwa kina msuva ambao washajiishia, ila the so called bench la ufundi lipo tu.
 
Back
Top Bottom