Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,452
- 183,561
Naona nae anamashauzi kweli!Osimhen anapiga ndoo kali inakuwa off target
Naona nae anamashauzi kweli!Osimhen anapiga ndoo kali inakuwa off target
NimeonaHivi umeona jezi zao?
Naona msimu huu Mvua imewaamuliaAnagongwa mvua vibaya mno
Tunakemeaa roho ya kulaaniwaaaa tunaikataaaaWakitoka hivi tuna nafasi bado.
Sema tumelaaniwa sisi
Wabadili mbinu siwaelewi kabisaMbinu mkuu