Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 6,391
- 12,680
Hatuna timu hata yaliyo benchi ni machizi machizi yoteKazi ipo.
Sub za mapema zifanyike.
Fei game imemkataa,
Msuva game imemkataa
Hatuna timu hata yaliyo benchi ni machizi machizi yoteKazi ipo.
Sub za mapema zifanyike.
Fei game imemkataa,
Msuva game imemkataa
Kelvin John mapepe mengiHaraka ya nini Kelvin John?
Tulioenda Jando tena lile jando la vijana wengi tunakuelewa vizuri sana😀😀Taifa stars wanacheza kama wametoka jando
Timu hakuna wabovu tuTumekata tamaa kabisa
Kacheza vizuri tu na ameclear chance za wazi kabisa 3 hadi mda huu unataka afanye nini?Huyo alimkamia osimhen apaishe Jina. Ni kama wale mabishoo wa shule wakionaga pisi wanavyojiremba.
😅😅😅Hawa waganda nao ni wagonjwa tu, wanajicheleweshea ushindi na wakati mechi ya kushinda mapema kabisa hii.
samatta hachezi kama tunavyomtegemea...so sadKelvin John atoke chap Samatta akawafunge hawa Kenge
Morice Abraham au Kibu miguvu game inawafaa hii
Krosi anapiga nzuri tu sema wapiga vichwa ndo hamna 9 na 10 wote vijeba waleMohammed Hussein naye cross unga nyingi sana kila mpira cross huyu jamaa akili za ma full back wa kisasa hana kabisa
Ni kweli ila tuendelee kumuamini Captain Diego kama wanavyofanya Egypt kwa Salahsamatta hachezi kama tunavyomtegemea...so sad
sanaMzungu yuko vizuri