Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

1000471830.jpg
 
Haya mashindano ya endelee tu kufanyika Afrika Kaskazini.

Mashabiki wa kutosha viwanjani hawa jamaa wanapenda mpira kweli na vipato vyao inaonekana kwa wengi vipo juu.

Miundombinu bora.

Ubora ni mwingi kila mahali I wish hata Afcon nyingine wa host Morocco au timu yoyote ya Afrika ya Kaskazini
 
Kwenye miundombinu sawa ila kwenye mashabiki bado sana
 
Back
Top Bottom