Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 74,463
- 183,583
😁😁😁😁Umeona laana zenyewe?
😁😁😁😁Umeona laana zenyewe?
Kabisa zimelaaniwaNaungana na watu wengine hizi timu zote zimelaaniwa.
Viongozi wao hovyo
Matokeo ngapi?
Si ndio maana haziendi popote, hizi point moja moja walizogawana haoa ndizo wanazotoka nazo, hawa wote wawili mechi zao za mwisho wanafungwa tena goli nyingi tu.Kumbukeni hizi ni timu za madikteta
Matokeo ngapi?
Haji mnoga Hana speed na akili ya mpiraHuyu Haji Inonga hii second half, ametuonesha ni kwanini hajawahi kufikiria kuichezea timu ya taifa ya huko kwao Uingereza.
Huyu ni mchezaji wa daraja la chini sana.
Nilisema pale mwanzoni kabisa.Huyu Haji Inonga hii second half, ametuonesha ni kwanini hajawahi kufikiria kuichezea timu ya taifa ya huko kwao Uingereza.
Huyu ni mchezaji wa daraja la chini sana.