😁 mbona kinyonge hivyoTaifa stars 🇹🇿
🤫👇😁 mbona kinyonge hivyo
Hatufiki mbali kaka, tutatoka na point moja tu 😁
Hivi ili kundi waliopanga wana ugomvi na sisi au 😅Hatufiki mbali kaka, tutatoka na point moja tu 😁
HATA MOJA WASIPATE WARUDI MAPEMA TUENDELEE NA MAANDAMANOHatufiki mbali kaka, tutatoka na point moja tu 😁
uzi umeunganishwa tayari.Naaami
Na Kuna vikosi vimetoka huko kuja huku balaahaya mashindano ni mazuri lakini yanachezwa kipindi ligi nyingi kubwa duniani zikiwa zinaendelea..