Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,365
- 3,066
Liverpool hatuna stress tenaSio mchezo...
Wengine tulikuwa tunamalizia kwanza stress za Man U
Liverpool hatuna stress tenaSio mchezo...
Wengine tulikuwa tunamalizia kwanza stress za Man U
Anawatia hasira sana MorocoKipa amechezaaa...
0-0
Penalt laini, Refa angeweza kupeta kuupa hadhi mchezo wa ufunguzi ila Mungu kaingilia kati.Dakika ya 10
Morocco wanapata Penati.
Dakika za Mapema kabisa
Ila yanatisha, yanakuja kama kobokoHakuna kuwaogopa.