Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

1000452219.jpg

1000452220.jpg
 
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU

Huu uzi maalum wa afcon inayofanyika Morocco kwa mwaka huu wa 2025

Team kibao zitamenyana
Mwenyeji atakuwa ni Morocco huku Africa mashariki tukiwakilishwa na Tanzania na uganda

Tuwe pamoja

LONDON BOY
 
Back
Top Bottom