Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
Morocco ni Ulaya kabisa jamani
Ili mkeka utiki au?Piga Wacomoro hao
Tuko live sasaMorocco wanapata free kick nje kidogo ya 18
Kheri ya haoComoros wanaosha ila ndani ya boxi lao.
Hii ni hatari sana
Sahihi maana Comoros hawashambuliiKwa mchezo huu Morocco wanakazi wakikutana na timu yenye washambuliaji wazuri
Ndiyo,inawezekana kabisaWakipata kaunta nzuri watapata goli wakomoro