Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Uganda na taifa stars ni mtu na kaka, wote ni wajinga wajinga tu.

Nadhani hata wao wanaandamwa na laana ya kuilea serikali dhalimu iliyopo madarakani ya Y.K.M
 
Mtu anafika kwenye box lakini hajui afanyaje.
Uganda namna gani pale?
 
Dakika 61
Tunisia 2
Uganda 0
Game on....
 
Uganda wanafanya usembe.
Waalinzi wanajichanganya.
Wanapigwa cha 3
 
Dakika 61
Tunisia 3
Uganda 0
Game on....
 
Dakika 72
Tunisia 3
Uganda 0
Game on....
 
Uganda wana poor ball control, na kutozingatia position.
Hii mbaya sana
 
Dakika 81
Tunisia 3
Uganda 0
Game on....
 
Hii Uganda hata Taifa Stars watajipigia tu
 
Uganda wanapata goli.
 
Dakika 90+3
Tunisia 3
Uganda 1
Game on....
 
Back
Top Bottom