DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 5,966
- 11,457
Mkuu mpira wa ajabu sana jamaa wamepiga kamba mbili dakika za nyongeza na kuchukua points tatu.
Mkuu mpira wa ajabu sana jamaa wamepiga kamba mbili dakika za nyongeza na kuchukua points tatu.
una utan et unamuombea mozambique alaf watu tume wekeza🤠🤠🤠🤠View attachment 3520071
God bless Mozambique...
Ivory coast hawajachangamkaHawa mozambique sio wanyonge kumbe
Afcon iliyo pta walimtesa EgyptHawa mozambique sio wanyonge kumbe
Wanatembea hatariNAfcon iliyo pta walimtesa Egypt
Noma sanaaIvory coast hawajachangamka