Ni binadamu haswa.. Nilikua nashangaa tulikomaa na Morocco na wahuni wenzie wakati tuna kocha la boli.Gamondi ni bonge la kocha
Leo nime enjoy mpira ila angekuwa yule kocha wa mpira wa kizamani leo tusingekuwa na on target hata mojaNi binadamu haswa.. Nilikua nashangaa tulikomaa na Morocco na wahuni wenzie wakati tuna kocha la boli.