Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Dakika 22
Tunisia 1
Uganda 0
Game on....
 
Dakika 28

Tunisia 1

Uganda 0

Game on....
 
Uganda wamerudi kwenye sense yao sasa.
Changamoto ni mipira mifupi wanapotaka kushambulia
 
Dakika 35
Tunisia 1
Uganda 0
Game on....
 
I hate unnecessary back passes
Ingewagharimu Uganda
 
Mukwala bana...
Huyu jamaa mbona huwa hatumii mwili wake?
2-0
 
Wasichokijua Uganda ndio kinawagharimu.

Toa Mukwala
 
Back
Top Bottom