Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Morocco na Senegal hawakosi kwenye mikeka yangu! Hawa jamaa ukiangalia matokeo yao ya mechi zilizopita mpaka una enjoy
 
1000462173.jpg

Kikosi Chetu
 
Mungu baba Muumba mbingu na nchi, kwa niaba ya wanyonge wa Danganyika, tunakuomba hii timu inayoitwa ya taifa wakati ni ya sisiemu ifungwe magoli ya kutosha ili taifa hili liendelee kutrend kwa mabaya tu.
Sisi wanaanchi hatuna cha kutufurahisha zaidi staz kucharazwa idadi kubwa ya magoli.

Amen.
 
Balaa
 
Nigeria nao ni gari bovu linaloenda kutokana na uzoefu wa dereva, hakuna timu hapa.

Sidhani kama watamfunga Uganda.
 
Back
Top Bottom