NoMkuu uliwait??
Wamisri wanastahili aisee wanajua boliFungu la kukosa.
watoto wapuuzi kwel hawa walikua wanaonyesha matumainiFT
Misri 2
Zimbabwe 1
Ni style hiyo hiyo lakini wakifika katika kuna wale mafundi akina Allende wako sharp mipira ikiingia zone ya mpinzan strikes kama akina Shalulile wako na speed na aggressiveness ya kutosha... Hawa South kazi kupiga vipasi vya mchongo km simba, effectiveness zeroMamelodi ndio style wanaocheza Bafana bafana...