DUBULIHASA
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 6,115
- 11,940
Miaka inavyoenda Nigeria nao wanzidi kuwa wa Kawaida haiwezekani unajiita football nation unashindwa kufuzu kombe la dunia mara mbili mfulululizo... Mi hata kwenye mikeka hawa Nigeria nilishaacha kuwaweka.🤣🤣🤣 sahihi..
Master Gamondi atauweka mpira katikati kesho.
Sema Nigeria sio aggressive.
Siwaogopi.
sidhan kama atakua na maajab sana hii AFCON kama kipindi yuko peak hakuwezaLeo MO SALAH Kibaruani
Football ilikufa na akina MikelMiaka inavyoenda Nigeria nao wanzidi kuwa wa Kawaida haiwezekani unajiita football nation unashindwa kufuzu kombe la dunia mara mbili mfulululizo... Mi hata kwenye mikeka hawa Nigeria nilishaacha kuwaweka.
Timu za maana ni Morocco na Senegal wengine ni tia maji labda yatokee maajabu..sidhan kama atakua na maajab sana hii AFCON kama kipindi yuko peak hakuweza
Sema Mo Salah amekua kwenye generation ya Egypt isiyo na maajabu Km ile ya akina Amri Zakhi, Zidane, Aboutrika. hata ukiangalia kwa haraka haraka Zaida ya Salah hakuna Egyptian player ambaye anatisha kihivyo zaidi ya wachezaji wa Al Ahly ambao hawana jipya. Asipoangalia anaweza aka-retire bila Afcon...Muoga wa Injury, kipindi kile mabwana zake waalikuwa wanamtegemea sana
Morocco wabadilishe sana style yao ya kucheza.Timu za maana ni Morocco na Senegal wengine ni tia maji labda yatokee maajabu..
Umenikumbusha kina Aboutrika...acha kabisa.Sema Mo Salah amekua kwenye generation ya Egypt isiyo na maajabu Km ile ya akina Amri Zakhi, Zidane, Aboutrika. hata ukiangalia kwa haraka haraka Zaida ya Salah hakuna Egyptian player ambaye anatisha kihivyo zaidi ya wachezaji wa Al Ahly ambao hawana jipya. Asipoangalia anaweza aka-retire bila Afcon...
Kweli kabisa Comoro wangeendelea kuwa compact km kipindi cha kwanza alafu wapate mtu wa kupiga pasi ndefu zimkute striker clinical mwenye speed wangeokoteshwa sana kambani...Morocco wabadilishe sana style yao ya kucheza.
Kwanza hata kikosi chao bado hawakiamini kwa level ya Comoros na kufanya sub nyingi namna ile, ni yale yale ya try and error.
Sasa wakutane na manguli uone watavyoteseka.
Nakumbuka generation yao kufuzu world cup walikua wana struggle lakin ukikutana nao lazima uimbe hallelujahUmenikumbusha kina Aboutrika...acha kabisa.
nimetabiri south anachukuaTimu za maana ni Morocco na Senegal wengine ni tia maji labda yatokee maajabu..
🤣 🤣 afcon amna wahainiMods, kama hamtaki kuweka kitufe cha LIVE nitafanya tukio humu hamtakaa mnisahau