Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,192
Hiki walichofanya senegal ndo inatakiwa dhidi ya marefa wahuni.
Wamefanya makusudi!Mbona kama kapiga maksudi?
Halafu analiaMaksudi wakati kapiga on target?
Kabisa kabisa yaani!Senegal wangejilegeza tu ingekuwa imeshaisha hii game.