Hammaz
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 7,092
- 15,514
Basi tu!Bado haiondoi kwamba Senegal wamekataliwa goli halali. Ujanja wa kizamani sana wanafanya waarabu.
Ila waarabu kwa kiasi kikubwa hawajastaarabika.
Wanaweza wakajifanya wapo poa ila kuna pahali ukiwagusa tu uwaarabu wao unakuja.