joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 18,947
- 40,198
AFCON hii ya Kis#nge mwenyeji mechi mbili anabebwa.
Kwahiyo Senegal wameondoka uwanjan?Goli lao lilikataliwa pia
Anazingua huyu!Sadio anataka nini sijui pale
AnazinguaSadio anataka nini sijui pale
Anazingua sana huyu! Halafu wakifungwa kuna nini kinatokea.HUyu mane asilete ujinga wake. Akakae yeye golin