Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Wamefanya makusudi!

Kwani upumbavu wao unadhani haujulikani?!

Si unaona wenyewe walivyokuwa wanahangaika kuwarudisha wachezaji wa Senegal uwanjani?

Na upumbavu wao dunia nzima wanauona.

Wameamua kupoteza ili kujifanya wanaleta fairness.
Hawajapoteza wamekosa kabisa kama ingekuwa fair play asingeaim kwenye goal mkuu
 
Back
Top Bottom