Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 10,905
- 18,872
Mane anazingua. Wamekataliwa goli la wazi. Hawa wamoroco kila wakipigiwa kona lazima mmoja ajiangushe.
Wanazingua hawa!Ndio hivyo ila ujumbe umefika
Kabisa, hata mimi nilihisi ili Senegal waendelee ni jamaa wajikoseshe penati.Mbona kama kapiga maksudi?
Wameona haya haoo!Mbna kama kakosa makusudi
Kabisa, walipewa maelekezo, na mane akaenda kumwambia kipa kabisa, asiruke mbaliMane kuna kitu alijua
Anaenda kujigongesha makusudi. Ovyo sana.Kwa kujigonga kabisa