- Aug 6, 2009
- 2,241
- 1,316
Hapana, si betUnataka kubet?
Niliuliza tuu
Kila la kheri kwenye mechi hiyo
Hapana, si betUnataka kubet?
Na anabeba, cush wangu Osh, wooow.Nigeria atabeba ndoo
Wadau wanataka uwe afisa ubashiri😀😀😀Hapana, si bet
Niliuliza tuu
Kila la kheri kwenye mechi hiyo
Kama saa 5 bora nilale tu niwahi kesho shuleMechi ishachezwa leo saa 5 ni matokeo tu
Nigeria anashinda. Tukutane 23:00hrs hapa hapa.Hapana, si bet
Niliuliza tuu
Kila la kheri kwenye mechi hiyo
Wee na MM si mlinibishia, kuwa Senegal hataenda final??Nataka waarabu wote wafe kibudu
Lookman na Osihmen watafia uwanjaniMorocco hatakubali ila atalazimishwa tu!!
Ni utani tu sio seriazi post , huyo mwehu niliyemtag huwa analeta udini hata kwenye mambo na mada za kawaida nikamchokoza makusudi kumkera kwenye mambo anayoyapenda ya udini.Dogo unaleta udini mpaka kwenye soka
😃😃😃😃Sema kabisa, Kila la Heri Nigeria.
Usiogope!!
Mnoooooo!!Wadau tuna furaha!!