Muda kidogo tatizoWaarabu wacheze sasa tuone ball
Ile press mzee sio poaKambaaaa
Watu mnapaki bus kma sio giant bhna
Ni zamu yao kunyemelewa counter.Fungukeni basi tuwapige kingine
😀😀😀😀Giant ana Giant wake 😅😅
Hadi sasa hana Shot on target
Salah nafurahi anguko lako huwezi kuwafurahisha Magalatia kila Krismasi tena hausikii watu wakikuonya halafu nishabikie timu yako .Misri ilikuwa team yangu ila Leo nashabikia wamatumbi wa Senegal sababu Salah kaniuzi kusherekea Sherehe za Kigalatia.
Cc : Mcmillan de Maghayo The loose Nut
Pole mdau na HongeraMisri ilikuwa team yangu ila Leo nashabikia wamatumbi wa Senegal sababu Salah kaniuzi kusherekea Sherehe za Kigalatia.
Cc : Mcmillan de Maghayo The loose Nut