adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 15,638
- 34,162
Kwa Morocco narudi kwa Waarabu wenzangu nitakuwa Mmorocco .Morocco wakutane na Egypt wachague mshindi wao wa tatu tu sasa
Cc : Mcmillan de Maghayo The loose Nut
Kwa Morocco narudi kwa Waarabu wenzangu nitakuwa Mmorocco .Morocco wakutane na Egypt wachague mshindi wao wa tatu tu sasa
Morocco wanacheza lini nusu fainali ?Pole mdau na Hongera
Unamaanisha kuwa Morocco atafungwa na Nigeria?Morocco wakutane na Egypt wachague mshindi wao wa tatu tu sasa
Saa tanoMorocco wanacheza lini nusu fainali ?
Dogo unaleta udini mpaka kwenye soka
Nigeria wakipita leo, watachukua KombeFainali ya Senego na Naija itakuwa kali sana
Yap. Morocco atapigwa vibaya leoMorocco wakutane na Egypt wachague mshindi wao wa tatu tu sasa
Mechi ishachezwa leo saa 5 ni matokeo tuMorocco wanacheza lini nusu fainali ?
Unataka kubet?Unamaanisha kuwa Morocco atafungwa na Nigeria?
Kiwango chao duniFT
Misri out
Nigeria wanahitaji spirit tu. Kelele uwanjani zitakua nyingi.Hii mechi ya baadaye itakuwa kali sana. Morocco akitanguliwa tutaona boli safi sana.
Walicheza hivi na Ivory Coast. Ni Ivory Coast tu walikuwa wanazingua finishing.Egypt wamecheza kijinga sana
Fainali ya Senego na Naija itakuwa kali sana