Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Waarabu wote watokeee, wabaki Wenye michuano yao rasmi.
Jamaniiii Nyie Wapopo, leo msituangushe hapo. Tuko nyuma yenu.
 
Mwarabu wa kwanza out...Bado Hawa wasenge wengine wanaojiita wao wazungu na sio waafrika hata kutamka linchi lao siwezi asilani ntatapika tu....ptuuuu!
 
😅😅😅
 
Waarabu wote watokeee, wabaki Wenye michuano yao rasmi.
Jamaniiii Nyie Wapopo, leo msituangushe hapo. Tuko nyuma yenu.
Morocco leo watalazimishwa kutoka.
Watake wasitake
 
1000514629.jpg
 
Elimu haina mwisho , nimeshamaliza chuo mwaka huu ila Kuna shortkozi kwa ajili ya ujuzi Fulani napiga mtaani ili niongeze CV ya cheti changu sababu Kuna mahali nataka kuitumia nikaona nisome kwanza huku nikisikizia kurudi chuo kuchukua vyeti na kusaka michongo.
Kila la Heri! Piga shule,
 
Hongera sana ndugu
 
Back
Top Bottom