Lkn jiwe hakuwa mbaya kwa Makamba peke yake. Alikuwa mbaya kwa watanzania walio wengi. Ameua watu, ameteka watu, amejeruhi watu, amefilisi watu na ametukana watu hadharaniHao uliyowataja ni watu wabaya kwa Mzee makamba? Tunajua Magufuli (aliye mrekodi Mzee Makamba) ndio mtu mbaya kwa Mzee makamba na ndio rais ambaye kafia madarakani hakumaliza muda wake wa uongozi hadi hiyo 2025, ndio maana Mzee makamba anamwambia Samia kuwa yeye atafika 2025 hatokufa kwa sababu ni mtu mzuri.
Pole sana, Mama Janeth Magufuli.Habari mama,
Pole sana kwa msiba wa mumeo!, alikuwa great leader na wananchi wengi wanamkumbuka kwa utumishi wake ingawa ulikuwa mfupi kuliko kiongozi yeyote aliyetawala nchi yetu.
Hiyo Pole niliyotoa ni ya kawaida kwasisi binadamu maana wote tumefiwa wapendwa wetu lakini lengo kuu ni Pole kwa unayosikia na kuona kejeli na kubagazwa kwa marehemu mume wako hadharani bila woga tena kwa mambo mengine yasiyo msingi.
Sikia mama, mume wako alitimiza wajibu wake bila kujali pale alipokosea lakini wewe u hai ubavu wake ukisikia maneno magumu sana. Pengine unalazimika kuwatia moyo watoto lakini wewe mwenyewe umebeba mzigo mzito.
Imagine hata leo maneno yaliyotamkwa mbele yako! Tushukuru mama Samia walau kutuliza moyo wako baada ya maneno magumu leo lakini sio rahisi.
Endelea kuvumilia malimwengu, endelea kuipenda Tanzania! Jipe moyo kama Bikira Maria alivyojipa moyo alivyoshuhudia mwanae akiteswa na kufa msalabani!
Endelea kujipa moyo kama Bikira Maria alivyovumilia hata waliomtenda ubaya Yesu walipoeneza uzushi dhidi yake kuwa wanafunzi wake wamemwiba hakufufuka. Haikuwa rahisi ila moja ya tunu tunayojifunza juu ya Bikira Maria mara nyingi ni yote aliyaweka moyoni!
Kasome utenzi wa Bikira Maria Luka 1: 46-55 Ukutie nguvu. All shall be well![]()
Ni kweli lazima ataendelea kukumbukwa kwa upuuzi alioufanya. Madikteta huwa hayasahauliki. Hitler, Mussolini, Magufuli, Idd Amin, Mobutu n.k mpk leo yanakumbukwaMagufuli. tunamkumbuka na tutaendelea kumkumbuka daima.
Karume alifia nyumbani kwakoHao uliyowataja ni watu wabaya kwa Mzee makamba? Tunajua Magufuli (aliye mrekodi Mzee Makamba) ndio mtu mbaya kwa Mzee makamba na ndio rais ambaye kafia madarakani hakumaliza muda wake wa uongozi hadi hiyo 2025, ndio maana Mzee makamba anamwambia Samia kuwa yeye atafika 2025 hatokufa kwa sababu ni mtu mzuri.
Karume alifia nyumbani kwako
imebdi nichekeHayo sio tunayojadili hapa, kilichopo hapa ni kwamba hakukuwa na mahusiano mazuri kati ya Magufuli na Makamba na yaliyotokea tumeyashuhudia hivyo sio suala la kuongea kijumla jumla.Lkn jiwe hakuwa mbaya kwa Makamba peke yake. Alikuwa mbaya kwa watanzania walio wengi. Ameua watu, ameteka watu, amejeruhi watu, amefilisi watu na ametukana watu hadharani
Hata Maalim seif kafia kwangu.Karume alifia nyumbani kwako
Sawa mchepuko wakeHata Maalim seif kafia kwangu.
Tanzania hakuna tofauti ya kuwepo kiongozi anayeitwa dikteta au asiyeitwa dikteta, ndio maana sasa hivi huyo dikteta hayupo na hakuna tofauti kubwa yeyote labda kwa hao akina Makamba.Ni kweli lazima ataendelea kukumbukwa kwa upuuzi alioufanya. Madikteta huwa hayasahauliki. Hitler, Mussolini, Magufuli, Idd Amin, Mobutu n.k mpk leo yanakumbukwa
Watu wabaya ndio wanakufa, wazuri hawafi. Ccm chama cha MambuziWalisema nini?Nani hasa aliesema vibaya Hadi Rais Samia...akaingilia..
We mchepuko wa nani?Sawa mchepuko wake
Wa mama yako na dada zakoWe mchepuko wa nani?
Hajui kama ulimi uliponza kichwa, mbona mwanaye anasemwa kwa mabaya kwahiyo Mungu ni hamuoni? Nazani hajui ule msemo wakuwa sanda inaweza kutangulia kuzikwa na mwili ukabaki.Kwa kweli Leo makamba katukwanza sana watanzania.eti kanasema mbaya alikufa na wazuri wapo wakina jakaya na January makamba kweli?huoni hapo anamuumiza mama janeth na sisi wazalendo?huyu mzee anawashwa na kundu lake
Mbona sijawahi kukuona?Wa mama yako na dada zako
Muulze mama yako na dada zakoMbona sijawahi kukuona?
Hata cha maana hakuna zaidi yakutuumiza hakuna wakuishi milele hapa duniani.Huyu kizee hana akili timamu. Kwa kumtaja tu jakaya kwamba anadunda direct frontline wanakaa marais kwani jakaya ni Rais mstaafu. CCM inadhani ina hazina kumbe ni level ya mashetani.
Mbona kifo kakiomba mwenyewe!Msamehe usimuombee kifo.
Wewe ndio uliyesema na mimi sikujui wewe, sasa naanzaje kwenda kumuuliza mwengine?Muulze mama yako na dada zako