Hivi ndo season ya Mwisho eeh???All hail Bran the Broken, First of his name, king of the Andal and the first men, Lord of the six kingdoms and the protector of the Realm.
All hail Bran the Broken!
Daaah mzigo umeisha
Itakuwa ilivuja [emoji1787][emoji1787]Aliyeandika hii mpk sasa yuko sahihi ngoja tuone series finale itakavyokuwaView attachment 1096407
Hiyo Stars wars huwa kila nikiangalia huwa sielewi uzuri wake ni nini halaf cha ajabu eti ndio muvi iliyouza kuliko zote[emoji848]Game of thrones, star wars, into the badlands na nyingine kama transformers au zile za akina iron man, sio genre yangu kabisa.
Naanzaje kuangalia dragons?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Mkuu ulitaka iwejee???Game of Thrones nimeipenda, nimeanza kuiangalia tangu 2013 na kila season ikitoka nlikua naifatilia sana. Kwenye kumalizia naona jamaa wamefeli sana. Episode 5 na 6 ya season 8 sijazipenda hata kidogo. Hata kama mtaniita team cersie lakini hizi episode ni mbaya. Huwezi kuamini episode ikitoka nlikua naiangalia mara 3 kwa wiki hiyo. Lakini episode ya 5 nliangalia mara moja tu, na hii ya 6 wala sitairudia.
Kiukwel me nimependa ilivyoisha jon snow kutud kuwa lord commander anakutana na ghost, arya ku discover something new and mwish the imp lannister who always pays his debts dahh GOTkuna msemo mmoja unasema people they dont care who is wrong or right they only need a hero to believe or follow! hapa ndio nimeona mashabiki wengi hawaangalii story hawaangalii fundisho na vitu vingine they only need a hero , na mara nyingi unawacganganya pale unapowanyima mtu wa pekee katika movie , naona hii kitu game of throne hawaitaki
Atunge cha kwake...ili wamalizie vizuri...Mkuu ulitaka iwejee???
Hapo walizngua piaaaSo Jon Snow was a Targaryen,
Brann became the 3 eyed raven... For no reason?.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wamekata utamuu... Me pale nilitegemea Khalees arudi amepona na yule dragon au white walkers wafufukee daahHapo walizngua piaaa
Nilitegemea kuna kitu kingetokea
Imeuza kuliko Avatar..?Hiyo Stars wars huwa kila nikiangalia huwa sielewi uzuri wake ni nini halaf cha ajabu eti ndio muvi iliyouza kuliko zote[emoji848]
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani wamekata utamuu... Me pale nilitegemea Khalees arudi amepona na yule dragon au white walkers wafufukee daah
Kwa kipindi chote, Avatar ndio inayoongoza kwa mauzo, last time i check...Imeuza kuliko Avatar..?