Hata mimi ndivyo ninavyofahamu..!Kwa kipindi chote, Avatar ndio inayoongoza kwa mauzo, last time i check...
Series hiyo ya Game of Thronesndio kitu gani watu wanaongelea hapa ?
Haha majamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watasha tu ndo wataelewaa
Imevunjwa na EndgameHata mimi ndivyo ninavyofahamu..!
Hiyo rekodi itakuja kuvunjwa na James Cameron mwenyewe atakapotoa sehemu ya pili ya movie ya Avatar..!
Ebu weka uthibitisho Chief...Imevunjwa na Endgame
Nmesoma vzuri chief....imevunjwa kwne domestic box office....ila global box office Endgame bado anazidiwa.Ebu weka uthibitisho Chief...
Na hapo ndio mwisho wake Kiongozi..!Nmesoma vzuri chief....imevunjwa kwne domestic box office....ila global box office Endgame bado anazidiwa.
Game of thrones is always for starksHapo walizngua piaaa
Nilitegemea kuna kitu kingetokea
Kweli bosiNa hapo ndio mwisho wake Kiongozi..!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huna tofauti na Wale hores wa tyrion...Hako kangese kajuaji sana bora umekaambia fala sana huyo shangazi!!!