juan david
JF-Expert Member
- Jan 23, 2013
- 3,976
- 5,463
Aliyeandika hii mpk sasa yuko sahihi ngoja tuone series finale itakavyokuwa
Hahah Team Cersei,Kwa ukweli episode ya tano sijaipenda
Kwa ukweli episode ya tano sijaipenda
Jamaa katisha may be imevujaAliyeandika hii mpk sasa yuko sahihi ngoja tuone series finale itakavyokuwaView attachment 1096407
Kweli had nimezidi kumpenda. Watu wa King's Landing sio wa kuonea huruma hata kidogo,sijasahau walivyokua wakishangalia Ned Stark alivyokatwa kichwa!Ila mother of dragon unburnt kawa mtam mpk kazidisha daaah walimwambia surrender akagoma
Kweli had nimezidi kumpenda. Watu wa King's Landing sio wa kuonea huruma hata kidogo,sijasahau walivyokua wakishangalia Ned Stark alivyokatwa kichwa!
Kudos Breaker of chains,Khaleesi of the great sea,the unburnt and Mother of dragons.
Wenye hiyo series wameshasema episode ya mwisho siku hiyo watazima simu na watakaa sehemu wanywe tu kwa sababu watu wengi hawatopenda itakavoishaKwa ukweli episode ya tano sijaipenda
Dragon alivyokua anakwepa yale mamishale yao aisee ilikua ni balaaSi kwa kipigo kile aise...licha ya kengele tumegonga waaapi.Hapana bora ya Night walkers sio lile Dragon moja yangekuwa yote matatu wangekunywa hata maji ya bahari yaishe.
Ila kifo chake kilikuwa chepesi mno kwa jinsi alivyowaumiza wenzie ilifaa na yeye apate matesoKilichomkuta cersie nilikitalajia nimefurahi sanaa uyu alistaili kufa
Hii episode 5 nimeelewa kwann Missandei alisema "Dracarys" kabla hajauliwa
'Dragonfire' in high ValyrianDracary maana yke nn
'Dragonfire' in high Valyrian
Tena me nahisi kafa kirahisi,yule alitakiwa afe kifo Cha matesoDuuh alafu kuna mtu anamuhulumia cersie
Fire, MotoooDracary maana yke nn