ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Daenerys alikua hivyo tangu mwanzo series sema hawakutaka tu kutuonyesha picha kamili. Nakumbuka kuna scene (sikumbuki season) alikua akiongea na Jorah na kumwambia kwamba "When my dragons are grown, we will take back what was stolen from me and destroy those who wronged me! We will lay waste to armies and burn cities to the ground"Wengi tulitegenea Daenerys atakua bonge ya queen ila alivyochoma kila mtu...naona anguko la Daenerys kama la Stanis Baratheon vile alivyowatoa sadaka hadi watoto wake mwishowe akaishia kuuwawa kizembe.
Tutegemee tu anguko la Daenerys!!!
Pia Kuna scene season 2 yupo ndani ya ile house of undying walionyesha Kings landing ikiwa imeangamia sema kwa wakati ule ilikua ngumu kuelewa kwa sasa ukiunganisha dots utaelewa.
Rejea alivyowachoma Moto Lord Randal Tary and Dickon. Rejea alivyowasurubisha mamaster kwenye misalaba na kuacha maiti zao ziliwe na kunguru. Ukiangalia series tena kwa makini kuanzia mwanzo utaelewa zaidi
Mwisho kabisa kumbuka Daenerys ni Tarygeryen (FIRE AND BLOOD)