rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 22,170
- 43,980
Ya pilii hiii...Hiyo ni season ya ngap unaangalia. Maana mi niliangalia 1-5 kama sikosei ipo kali sana binafsi niliipenda
Ya pilii hiii...Hiyo ni season ya ngap unaangalia. Maana mi niliangalia 1-5 kama sikosei ipo kali sana binafsi niliipenda
Anza ya kwanza gusa kila episode mzee utaielewa. Hiyo ni miongoni kwa series nzuri sana! Ila naskia ya mwisho tu ndio miyeyusho japo sijaidownload bado ila nikipata muda ntaipitiaYa pilii hiii...
season 1-5 kali sana nakubaliana nawewWatu goi goi na wenye mtindio wa ubongo wanaopenda katuni za tom and jerry au bongo movies za akina 'nsyuka' na matakataka mengine 'rahisi rahisi' lazima waione Game of thrones chungu sana.
Game of thrones ni series yenye kubeba maudhui mazito yanayoturudisha karne nyingi zilizopita katika nyakati za kifalme. Unahitaji kuwa na ufahamu mkubwa na utulivu wa akili kuifwatilia ile series.
Fasihi ya Game of thrones ni the best ambayo haiwezi kulinganishwa na series yoyote ile chini ya jua.
I recommend you to watch it carefully from season one to five.
Umeelewa ubovu ninaousemea?????
Wakorea mbona wako vizuri, game of throne ni series mbovu sana kulinganisha na Wakorea.Kiongozi nahisi utakuwa umeangalia season ya mwisho pekee ndio naskia wengi wanasema mbaya lakini hizo nyingne mzee ni moto jarbu kufatilia. Au nawewe umezoea wakorea hahhahaa
Aaargh[emoji23][emoji23] kuwa serious mkuu!! Mimi kwa upande wangu wakorea hapana wale jamaa miyeyusho tu na ndugu zao wahindi movie zao za action zimejaa uongo wa kitotoWakorea mbona wako vizuri, game of throne ni series mbovu sana kulinganisha na Wakorea.
Naangalia into the badlands,kuna vidada ni vilesbian vinaniboa kinoma,vinanyonyana ndimi..hivi lengo la kucheza scene kama hizi ni nini??GT nimetizama season 1 mpaka ya 3 ni upuuz tu kugegedana na ushoga nikajiapiza sitizami tena huo upuuz Bora nistick kwa wakorea tu
Hii battle field zote mbili nilizotegemea kuona watu wanapigana wanafanya uhunii huuu huu sasa kama series nzima itakuwa hivi huu ni ujingaaa kiukweliii[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57] Vikings at lst battle nyingi walikuwa wanaoneshaaa hawa aisee nimechokaa mpaka nimewashtukia ambapo na wewe hili umelionaaa...Ubovu wa kusema hawapigani hiyo hutokea kwenye baadhi ya episodes, Hata Vikings ukiabgalia season hii mpya kuna vita kama mbili hazipigwi, unaona wapo battle field afu mara watu wameshapigana
Unajua wakati mwingine lugha nayo ni tatizo. Kwasababu alichoona yeye ni mapanga na sio maudhui ya fasihi ile.season 1-5 kali sana nakubaliana nawew
Ushogaa balaa... Kugegedana kila konaa me nilianzaga kuingalia kipindi flani nikaacha sasa now nimoena kila mtu GOT khaaa... Nikaona niiianze tenaaGT nimetizama season 1 mpaka ya 3 ni upuuz tu kugegedana na ushoga nikajiapiza sitizami tena huo upuuz Bora nistick kwa wakorea tu
Duuh kwamba inaonesha ishu za Kingdoms na mifarakano tu???? vita hakunaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] Sasa huu mbona ndo upuuzu zaidiii...Unajua wakati mwingine lugha nayo ni tatizo. Kwasababu alichoona yeye ni mapanga na sio maudhui ya fasihi ile.
Little did he know.. yale mapanga na zile vita 'fupi fupi' ni artistic symbol ya kifasihi ku-portray maudhui ya vita za kifalme; ukichukulia kwamba ile ni fasihi ya kifalme sio action movie ya Arnold Schwarzenegger.
Ndio maana nadhani huyu ndugu yuko interested na mapicha picha zaidi, considering the fact of linguistic deficiency.
Series za ki intelegencia zinazousisha mambo ya FBI ndo nimeloose interest jumlaaa kila ninayoiamza siwezagi kuimaliziii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu utakuta watu wanaoangalia GoT wanawaponda ambao hawaiangalii eti hawaielewi sababu vichwa vizito.
Yani nielewe complicated series kama Black list alafu nishindwe kuelewa hiyo ya madragon, like serious?
Hapo kwenye tatizo la lugha ndio maana nawashauri watu wadownload na subtitles ili waende sawa. Kuna movie unaweza kuiona mbaya kisa haukuelewa wanazungumza nini unaona vitendo tuUnajua wakati mwingine lugha nayo ni tatizo. Kwasababu alichoona yeye ni mapanga na sio maudhui ya fasihi ile.
Little did he know.. yale mapanga na zile vita 'fupi fupi' ni artistic symbol ya kifasihi ku-portray maudhui ya vita za kifalme; ukichukulia kwamba ile ni fasihi ya kifalme sio action movie ya Arnold Schwarzenegger.
Ndio maana nadhani huyu ndugu yuko interested na mapicha picha zaidi, considering the fact of linguistic deficiency.
Sasa subtitles mkuu nishindwe kuelewa pia????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itakuwa huelewi kingereza