SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Nowadays, finale season imekuwa fashion kulipuliwa. The last ship (so5), Shooter (so3) into the badlands (so3), game of thrones (so8) na nyinginezo, blunders zimekuwa nyingi sana.
 
Daenerys kachafua hali ya hewa huko, kwa style hii sijui atakua queen wa nani...naona kila mtu kaangamia
 
Nowadays, finale season imekuwa fashion kulipuliwa. The last ship (so5), Shooter (so3) into the badlands (so3), game of thrones (so8) na nyinginezo, blunders zimekuwa nyingi sana.
Kama hii season 8 watu tumeisubir zaidi ya miaka miwili then inakuja below expectations...ila sio mbaya sanaa
 
Uliexpects nini mkuu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani hiyo ndo maana ya Series kalii... Unaexpect hivi kinachotokeaa ni tofauti kabisaa
 
Mad King Kipindi Hicho Kila episode Waliokuwa wanamzungumzia now tumemuona Mad Queen.
 
Daenerys kazingua aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaburn down mpaka Throne yenyewee.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Uliexpects nini mkuu??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yani hiyo ndo maana ya Series kalii... Unaexpect hivi kinachotokeaa ni tofauti kabisaa
Wengi tulitegenea Daenerys atakua bonge ya queen ila alivyochoma kila mtu...naona anguko la Daenerys kama la Stanis Baratheon vile alivyowatoa sadaka hadi watoto wake mwishowe akaishia kuuwawa kizembe.
Tutegemee tu anguko la Daenerys!!!
 
Yaah kama kuna season nyingine kweli ila sasa nani watamuangusha??? maana Mad kings land ishaangushwa yote hadi throne hakuna kituu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna namna flani hivi Jon Snow alikua anashangaa kilichokua kinaendelea...hata Arya nae nahis atamgeuka.
Daenerys aligeuka kabisa akawaangamiza watu wasiokua na hatia
 
Yanii hadi Tyrion alikuwa haamini maana Walimwambia Kengele ikiliaa means wamesurrender lakini yeye akazidi kuwachomaa... Hapaa amezinguaa sanaa me mwenyewe sijapendaa[emoji48][emoji48][emoji48]
 
Halafu Tyrion alihaidiwa kifo kama angemuangusha Daenrys tena. Sasa kamuangusha na akamfungulia kaka ake Jaime....tyrion tusishangae wakamchoma moto aseee
 
Nowadays, finale season imekuwa fashion kulipuliwa. The last ship (so5), Shooter (so3) into the badlands (so3), game of thrones (so8) na nyinginezo, blunders zimekuwa nyingi sana.
This episode ina the lowest reviews kwne rotten tomatoes
Sasaiv wanawaisha story iishe ukzngatia umri wa actors haurud nyuma
Kungekua na additional seasons labda wangeexplore zaidi.... sasaiv writers wanaandka script bila uangalizi wa George R. R. Martin mwandishi wa song of Ice and fire
 
Yani nilikuwa nasikia Game of throne series kali nikasema ngoja niifatilie ilaa Kiukweli hakuna kitu hapaaa ni Upuuzi tu hasa jambo moja Limenikera mno..!! wanaonesha watu wanajiandaa kupigana vita kati ya pande mbilii alafu ghafla unasikia tu makelele huoni watu wakipiganaa then Vuuuu vita imeishaa...????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Serious???? Hadi season ya Pili Hakuna battlefield imeoneshwa... Huu ni ungeseeeee nilijua inatokea mara mojaa ila mpaka sasa nipo Season ya pili sijaona vita between kingdoms naonyeshwa utumboo tu hapaa... Mara 100 Vikings unaona mkonoo woteee... GOT ni ungeseee naacha kuiangaliaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji2959][emoji2959][emoji2959]

Basi we ndo hujui kitu na inaonesha unapenda uongouongo
 
Hili ni kweli mwaka 2017 nilishindwa kuangalia sababu ya lugha ila now nimeona kasoro nyinginee hii ambayo imenitoa mood kabisaa..[emoji26][emoji26][emoji26][emoji26]

Bas ndo maana
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mara bran anaamka toka kwenye vision kumbe hamna kilichotokea
Daenerys kazingua aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kaburn down mpaka Throne yenyewee.. [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
You Know Nothing Jon Snow
Yani nilikuwa nasikia Game of throne series kali nikasema ngoja niifatilie ilaa Kiukweli hakuna kitu hapaaa ni Upuuzi tu hasa jambo moja Limenikera mno..!! wanaonesha watu wanajiandaa kupigana vita kati ya pande mbilii alafu ghafla unasikia tu makelele huoni watu wakipiganaa then Vuuuu vita imeishaa...????[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Serious???? Hadi season ya Pili Hakuna battlefield imeoneshwa... Huu ni ungeseeeee nilijua inatokea mara mojaa ila mpaka sasa nipo Season ya pili sijaona vita between kingdoms naonyeshwa utumboo tu hapaa... Mara 100 Vikings unaona mkonoo woteee... GOT ni ungeseee naacha kuiangaliaa[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji2959][emoji2959][emoji2959]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mara bran anaamka toka kwenye vision kumbe hamna kilichotokea
Utakuwa ufala mamaeee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Nitamind mpak bhasii
 
Back
Top Bottom