SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

Anaenda kingslanding baada ya kusikia kwamba atauliwa. Jaime anampenda cersie. Wengi wetu tunamchukia cersie lakini kwa upande mwengine tukiangalia kosa alilofanya cersie ni lipi hatulioni. Cersie hakuamuru lord stark auliwe, ni kweli cersie alikua anatembea na kaka ake lakini mnauona uovu aliokua akiufanya robert, kuingiza wanawake ndani ya chumbani mnacholala mke na mume halafu mke anakuona sio fair kabisa. Mimi binafsi sijauona uovu alioufanya cersie. Labda wenzangu nielezeni.
Cersie hakumrusha bran kwenye window
Cersie hakumuua lord stark
Cersie hajamtesa sansa wala arya
Cersie hajamuua baba ake
Cersie hajamsentence tyrion kuuliwa. Anachofanya ni kulinda ufalme wake tu
Nafikiri unahitaji kurudia season 1 ilk uelewe vizuri
 
Ile site nilizoangalia episode zilizopita haifunguki. Tafadhali mwenye site ya kuangalia episode 5
 
Kwa hili tifu nadhan hata The Iron Throne itakua imeharibika!!! Huyo king atakaa wapi sjui 😂😂😂😂

Dany kaona wakose wote tu...
 
Dragon mmoja anabalaaa...ule mji utasema pamepigwa ICBM za maana
Si kwa kipigo kile aise...licha ya kengele tumegonga waaapi.Hapana bora ya Night walkers sio lile Dragon moja yangekuwa yote matatu wangekunywa hata maji ya bahari yaishe.
 
Wazee wa Dragon's Arrows..kila wakisema fireeeee....Toka lini mshale utoe fire.Matokeo yake Fire wanakula wao.Master....hajamaliza fireeee..Ila imeuma aise..mno
 
daaah mad quen alikua kwanza anaomba cersie asipige kengere baada ya kupiga akasema wewe hunijui bado nitaendelea kuchoma wananchi wako na mji wote yani alikua na hasira mpaka anahema
 
Back
Top Bottom