Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,851
- 33,570
hii series kwa kweli ni my best series na kevin spacey aliifanya kuwa nzuri zaidi kutoka S01 HADI S04,house of card inabidi ujue English vizuri sana kufuatilia na kichwa cha kufuatilia matukio ya kisiasa na fitina wanazofanyiana, iliniuma pale yule dada mtangazaji alikuwa analiwa na kibabu kile kinachopanga matukio ma kutatua aka problem solver mzee alimrusha binti kwenye reli wakati treni inapita kukimbia mimba na kuchafuliwa jina lake .