SPECIAL: Game of Thrones (A song of ice and fire)

To all fans of Game of Thrones....tukutane humu kudiscuss this greatest series of all time. Power games, sex, politics etc...could it get better? Targaryens, Lannisters, Martells, Starks, Baratheons, Tyrells etc...like a wheel....
Kama bado hujaanza kuiangalia aisee you dont know what you're missing!

hivi yule jamaa anaemtesa theon greyjoy na kumbadilisha jina hafi?
huyu jamaa mshenzi nowma. kifo chake kiwe kikubwa
 
hata mimi nimesikitika kifo cha lord commender john snow, jamaa amekataa mpaka kusex, yuko very unique. isitoshe kimetokea kifo chake wakati rafiki yake samuel tarly hayupo
 
hivi yule jamaa anaemtesa theon greyjoy na kumbadilisha jina hafi?
huyu jamaa mshenzi nowma. kifo chake kiwe kikubwa
Ila Theon naye alikuwa kaanza ufala kuwageuka kina Stark.
Halafu huyo jamaa unayemsema alimbaka Sansa Stark.
Yaani huyo jamaa kifo chake kiwe slow and painful......i wanna enjoy it!
 
Theon hakuwageuka kina Stark bali alicheza mchezo ionekane kama amewasaliti but yeye ndiye aliyepanga kufake kifo cha Bran on purpose , kumbuka yeye ndiye the last greyjoy na Eddard Stark alimuadapt so amekuwa nimwanafamilia ya

Stark family ndio the most hunted people in westerous esp those in first line to be king, Stark ndio wanaonekana wana nguvu sana kihistoria bila wao baratheon wasinge tawala

Ndio maana Little finger ameamua kumtrade Sansa kwa Boltons coz wao ndio kings of North

Kile kitendo cha theon kuwasaliti stark kitaonekana cha maana sana huko mbele coz yeye ndio aliyeplan kuwapeleka kwa three eyed raven
 
Angalia vizuri asee, Theo hakufake kifo cha bran na mdogo wake on purpose. Bali alifail kuwauwa wakawa wametoroka ndo akaamua kuwachoma moto watoto wengine. Na Theo hana mahusiano na three eyed reven coz hata bran alikuwa hajui ni nini mpaka alipokutana na wale madogo (kaka na dada) alioenda nao mpaka kwenye ule mti.
 
Sijaona ila nilijaribu kufatilia nkaona Jon snow alikuwepo location nikaona labda alienda kumalizia scene yake ya mwisho ya mazishi yake kama ilivyokuwa kwa tywin lannister katika season 5

Trela imetoka na snow yumo,mashabk walikua sahh kuuliza uwepo wa melisandre at the wall wakati kwenye kitabu hakuepo.
 
Ila Theon naye alikuwa kaanza ufala kuwageuka kina Stark.
Halafu huyo jamaa unayemsema alimbaka Sansa Stark.
Yaani huyo jamaa kifo chake kiwe slow and painful......i wanna enjoy it!

theon hakuwa na jinsi kutokana na yale mateso, sijui nani ataiokoa hii familia, nimekua na mategemeo watafanikiwa kutoroka na kwenda kujiunga na john snow, lakini john snow wenyewe hatujaelewa mpaka sasa
 
Mkombozi wao kwa sasa labda ni yule kijana mlemavu (Brian)
 
Mimi kipande cha kwanza tu kilinichosha kiasi kwamba hata sikukimaliza
 
Sigil for house targaryen is a three headed dragon. There are three dragons. One for daenerys targaryen, who will ride the other two dragons??
 
Back
Top Bottom