Duh! Aisee ulianzia wapi kupoteza interest? Coz kwenye GOT kila kitu ni burudani tu.
MKuu nitumie kwa whatsapp, maana nimejaribu kudownload inagoma. NakuPm namba yangu
Mkuu hii ilikupotezea interest? Asee ni bonge la series. Just concentrate. Episodes za mwanzo zinaweza kukuchosha, ila ni nzuri sana
What kind of a person are u?GOT imekupoteza interest??? shida wapi???
Kifo cha John snow kimewaudhi wadau wengi, I hope hajafa,
Wajameni mimi hii kitu siilewi..nimeanza kukata tamaa..nifafanulieni episode za mwanzo..
Shida ya hii series, wanakufa watu ambao hawatarajiwi kabisa
e.g
Stark himsel, kijana wake wa kwanza yule aliyeuawa pamoja na mamayake, Mfalme mtoto aliyekua jeuriiiiiiiiiiii, john snow (ingawaje sidhan kama amekufa kweli), nasubilia kifo cha yule mbilikimo tuu...
INgia hapa https://kickass.to au hapa https://thepiratebay.gd/ then search series unayoitaka ni torrent sites hizowadau naombeni site nzuri ni download hii series kila site ninayo download nikimaliza inkua ina play kwa kukata kata
wadau naombeni site nzuri ni download hii series kila site ninayo download nikimaliza inkua ina play kwa kukata kata
Kifo cha John snow kimewaudhi wadau wengi, I hope hajafa,
Jon snow hajafa,mellisandre alimfufua.
Spoiler
ushanikata stimu mkuuSpoilers ahead