wabongo buana!Tamthilia bora kuliko zote nilizowahi kuona..ina fundisha maisha kwelikweli, hapa ndo utajua siasa,urafiki,usaliti,tamaa ya madaraka,tamaa ya fedha,uongo,mapenzi ya kweli na kila kitu katika maisha ya mwanadamu...namuhurumia sana ambae hajawahi kuona the game of thrones
Asante mmarekaniwabongo buana!
usipaniki [emoji15] [emoji15]Asante mmamarekani
The lanisters always pay their debtsHongera ziende kwa mtunzi george r.r Martin na waongozaji wote.
Mimi nawahusudu hasa tyrion lanister, Lord varys (master of whispers) na petyr baelish "little finger"
Jon Snow sio Stark bastard ni Targaryen atakuja kuoana na danny then watakalia kiti cha red keep.Ni vigumu kujua nani atakuja tawala empire yote..maana mother of dragons anaonekana ndo amepotea,petyr baelish is cooking something...kina stark ndo wanaendelea kufa huku wale wadogo wakiendelea kuwa wa miujiza zaidi...sijui itakuaje..I cant wait
jon snow kaka,Ni vigumu kujua nani atakuja tawala empire yote..maana mother of dragons anaonekana ndo amepotea,petyr baelish is cooking something...kina stark ndo wanaendelea kufa huku wale wadogo wakiendelea kuwa wa miujiza zaidi...sijui itakuaje..I cant wait
jon snow kawaachia ukuta wao kaka,subiri mziki wake...Ni vigumu kujua nani atakuja tawala empire yote..maana mother of dragons anaonekana ndo amepotea,petyr baelish is cooking something...kina stark ndo wanaendelea kufa huku wale wadogo wakiendelea kuwa wa miujiza zaidi...sijui itakuaje..I cant wait
Series tamu sana kama mfwatiliaji......Hapa ndo nashusha episode 3...
Mh! Mkuu umejuaje?he is my favorite kwenye hiyo show nitafurahi akiwa na happy ending.jon snow kaka,
jon snow kawaachia ukuta wao kaka,subiri mziki wake...
nimejuaje?kwani we hauitazami?angalia ep3 mwishoni baada ya kuwanyonga wale marafiki nafiki akiwemo dogo orly,aligawa lile koti ambalo lilikuwa ni kama cheo flani ukiwa mkuu pale ukutani,alogaiwa akauliza nilifanyaje hili koti?jamaa akamjibu mshkaji kuwa lichome moto au bakia nalo,siwezi na sitaki tena kukaa hapa,akatembea,,ya 4 ndio itakuwa moto mkali,ila nnachohisi yule lady dragon na john snow wana same blood line,nahisi john snow nae haungui na moto,lets wait and see,jumatatu saa moja asubuhi mzigo ep ya 4 itakuwa mtaani,daah wakati wanazindua season 6 obama alipewa yote as a gift...natamani atupe mrejesho kuwa whats going on...i love G.O.TMh! Mkuu umejuaje?he is my favorite kwenye hiyo show nitafurahi akiwa na happy ending.
Af nahisi atakutana na sansa njiani
Theory iliyotengenezwa na fans ni kuwa, Jon ni mtoto wa Lyanna na Rhaegar Targaryen na kama naamini flani cz the red woman alimwambia s06e03 kuwa Stannis wasn the prince so maybe he is.Jon Snow sio Stark bastard ni Targaryen atakuja kuoana na danny then watakalia kiti cha red keep.
Also Tyrion ni targaryen.
Yeah hyo theory inaitwa L+R=J.Ni utamaduni wa Targaryen kuoana wenyewe kwa wenyewe ili kufanya damu yao kuendelea kua pure dragon.refer kwa ndoa ya Dannyna kaka yake.!!Theory iliyotengenezwa na fans ni kuwa, Jon ni mtoto wa Lyanna na Rhaegar Targaryen na kama naamini flani cz the red woman alimwambia s06e03 kuwa Stannis wasn the prince so maybe he is.
Halafu pale kwenye ndoto ya Bran pale kwenye fight Eddard alivyoenda kule kwenye ile tower nahc ndo alienda kukachukua kaJon....
Sasa unavyosema atamuoa Daenerys,atamuoaje wakati yasemekana ni ndugu yake...
Danny hajawahi kuoana na kaka yake....Though wazazi wao ndio siblings...no wonder wanapata wendawazimu...Yeah hyo theory inaitwa L+R=J.Ni utamaduni wa Targaryen kuoana wenyewe kwa wenyewe ili kufanya damu yao kuendelea kua pure dragon.refer kwa ndoa ya Dannyna kaka yake.!!
Lyanna alimfanya Ned ahaidi kua atamlea Jon as his own.na kama Ned angesema Jon ni Targaryen angeuliwa na Robert Baratheon sababu angeleta threat kwa throne sababu Jon ni Targaryen na Baratheon alimpindua Targaryen king.
Ep 3 nimeiona nilikuwa nauliza umejuaje kama john snow atakalia kile kitinimejuaje?kwani we hauitazami?angalia ep3 mwishoni baada ya kuwanyonga wale marafiki nafiki akiwemo dogo orly,aligawa lile koti ambalo lilikuwa ni kama cheo flani ukiwa mkuu pale ukutani,alogaiwa akauliza nilifanyaje hili koti?jamaa akamjibu mshkaji kuwa lichome moto au bakia nalo,siwezi na sitaki tena kukaa hapa,akatembea,,ya 4 ndio itakuwa moto mkali,ila nnachohisi yule lady dragon na john snow wana same blood line,nahisi john snow nae haungui na moto,lets wait and see,jumatatu saa moja asubuhi mzigo ep ya 4 itakuwa mtaani,daah wakati wanazindua season 6 obama alipewa yote as a gift...natamani atupe mrejesho kuwa whats going on...i love G.O.T