natamani john snow ndio aje kuwa King,hv season ya 6 imisha toka au
John snow ashakufaa
Arya ananipa matumaini hata mimi....strong characterDah hapa nipo namalizia ku download episode ya 9 na 10 season 5 na kuangalia nipo episode ya 7 sasa... Nasikitika kusikia LORD COMMANDER JOHN SNOW atakufa daaaah........ but still kuna kale ka Stark kabinti ka Arya Stark nako kanaonekana katakuja kuwa kamtu kamaana huko mbeleni...
jon snow anaweza asife kumbuka red priestess malisandre yupo pale....dini yake inafufua watuJohn Snow kifo chake kimeniuma sana, Busara zake zimemponza. Wale jamaa watapay siku yale maWhite walkers yakija
jon snow anaweza asife kumbuka red priestess malisandre yupo pale....dini yake inafufua watu
Arya ananipa matumaini hata mimi....strong character
Jon snow hajafa,mellisandre alimfufua.
Nilikuwa sijui kama kuna huu Uzi Mimi ni mmoja Wa shabiki namba moja Wa hii GOT
Suala la Joh Snow ni kitendawili, juzi nilikuwa nafatilia utengenezaji Wa S06 joh snow alionekana location huko Belfast kwenye scene moja tu ambapo wachambuzi wengi wanasema inawezekana ni kwenye mazishi yake kama ilivyokuwa Tylwin lannister kwenye S05
Ingawa watengeneza Wa hii series Beniof na Weiss sometimes wanafanya mambo tofauti na mtunzi Wa kitabu mfano uwepo Wa Sansa Sark na mambo mengine mengi so wanaweza kumrudisha joh snow kutokana na watazamaji wake kumuitaji
Pia mtunzi Wa hii novel Geogre Martin inavyoonekana hii ndiyo staili yake ya uandishi Wa hadithi zake ndio maana ameteka watu sana duniani...tumuache ajiachie ili tuendelee kula uroda maana bado anaendelea kutunga novel nyingine
Ned stark family haijaisha bado, Kuna wale madogo wawili bado wapo.. Hawajaoneshwa season 5
Ila mi napenda sana part ya aaria
Atapoteza vision za kuona na atakuwa anatumia macho na sense za gost/ yule mbwa wake
Akifa huyu jamaa ntaipotezea kama nilivyoacha Arrow na Vimpire diaries
Spoiler