Nakubaliana na ww kwa 100%, night king ni stark. Starks ni moja kati ya first men pamoja na children of the forest na ndio maana abilities alizo kua nazo Bran kama vile warg na greensighting, walikua nazo hawa children of the forest na hamna watu wengine wenye nazo. Sasa historia inaonesha kwamba zamani kabisa kulikua na vita kati ya first men na children of the forest. Ambapo first men walikua wanakata ile miti(wierwood) ambayo ina sura kama inatoa machozi ya damu, hii miti ilikua inawapa uwezo wakuona matukio mbalimbali hawa children of the forest.Mbona historia ya Night king ni ya kitambo sana kuliko Targaryen.(miaka 1000)
Kuna theory inadai Night king wana damu Starks-toka kipindi cha brandon(the builder)
Tunasubiri episode ya 3 leo usikuSeason 8 episode 2 kuna mtu ameangalia?
Ni kweli mdau, unavoongea ni sahihi lakini children of the forest walimtengeneza white walker kwa sababu walikua wanauliwa sana kwenye vita. Ilifika hatua kizazi cha children kimeshashindwa vita ndiyo maana wakaamua kutafuta means za kujinasua. Kama unakumbuka yule children alikua akimueleza bran kua we didi not have choice. Lakini pia night king ni stark, kuna histori kwenye vitabu inasema kwamba bran walikua wako wengi kiasi ambacho mpaka mlezi wao alikua anachanganya majina. Kuna mtu anaitwa bran the builder huyu ndo alikua very geneous katika masual ya ujenzi. Storm end kule kwa king robert ilijengwa mara 5 na mara zote ilianguka. Lakini alipoenda bran the builder aliijenga mara moja tu na mpaka saivi ipo. Inshort bran ana msaada mkubwa huko mbele maana lazima atumie mbinu alizotumia bran the builder ili kuijenga tena wallNakubaliana na ww kwa 100%, night king ni stark. Starks ni moja kati ya first men pamoja na children of the forest na ndio maana abilities alizo kua nazo Bran kama vile warg na greensighting, walikua nazo hawa children of the forest na hamna watu wengine wenye nazo. Sasa historia inaonesha kwamba zamani kabisa kulikua na vita kati ya first men na children of the forest. Ambapo first men walikua wanakata ile miti(wierwood) ambayo ina sura kama inatoa machozi ya damu, hii miti ilikua inawapa uwezo wakuona matukio mbalimbali hawa children of the forest.
Hii ikapelekea children of the forest wamkamate mtu mmoja na kumgeuza kiumbe cha ajabu ili kiweze kuwasaidia kupigana vita na first men, hapa ndipo inasemekana walimkamata moja ya stark na kumgeuza white walker(Night king ili aweze kuwasaidia vita hii). Sasa kosa walilofanya hawa children of the forest ni kwamba walimforce huyu jamaa na sio kwa matakwa yake. Ndio sababu ana beef na children of the forest.
Kama umeeza kufuatilia kwa mikini Night King akiua naeka kama duara flani hivi( kwenye epsd 1 ya season 8 kule last hearth). Hii ni alama ya children of the forest hata wakati night king anageuzwa na children of the forest ilikuepo hii alama ya mduara.
Na mimi ndio nimemaliza episode 2.Wanasubiri vita na wafu ni Kama wote wamekata tamaa ya kuishi!Tunasubiri episode ya 3 leo usiku
Hebu zitafute hizi Admiral current roaring, six flaying dragon.Aaargh[emoji23][emoji23] kuwa serious mkuu!! Mimi kwa upande wangu wakorea hapana wale jamaa miyeyusho tu na ndugu zao wahindi movie zao za action zimejaa uongo wa kitoto
Safi sanaView attachment 611716 View attachment 611717
Its a very nice Series ipo based kwenye vitabu vya A Song of Ice and Fire; ni nzuri na dialogue yake ni bomba sana; inahusu mapambano ya familia (clans tofauti tofauti) wanagombania kuongoza Seven Kingdoms...,
Mpaka sasa series imeingia episode ya nne na mwandishi ameshaandika vitabu sita; cha saba huenda kikatoka mwisho wa mwaka huu; na amesema inabidi aandike haraka kabla series haijamkamata na kumfikia kabla hajamaliza..
Ni series nzuri yenye dialogue za nguvu, some fighting, some magical things as well as nudity na sex (which is a shame sababu watoto watashindwa kuangalia which would have been an otherwise entertainment for everyone) Kwahio angalia ila usiangalia na watoto
Nani kafa mkuu?[emoji134] Kabla sijaangalianimetoka kuchek mzigo View attachment 1083749
Haaaa sitaki kuharibu show mkuu angalia [emoji16][emoji16][emoji16] lady merissande yule mchawi karud [emoji16][emoji16]Nani kafa mkuu?[emoji134] Kabla sijaangalia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuuHaaaa sitaki kuharibu show mkuu angalia [emoji16][emoji16][emoji16] lady merissande yule mchawi karud [emoji16][emoji16]